Ni mwaka 2008 na Maquis du zaire wakiwa na Vumbi Dekula Kahanga wanakupa 'Kiongo'. Asante Pablo Machine kwa wimbo huu
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mmh Angalia vizuri kumbukumbu za 2008 Marquiz du zaire ilikuwa haipo!! Ila kibao kilikuwa moto wa kuotea mbali.
ReplyDeleteWimbo unatukumbusha wengi Dar ilipokuwa kisima cha burudani starehe huku na kule ,naona marehemu Kasolo(RIP),katika midomo ya bata mkongwe Mafumu Bilal wa Bobenga,Kanku Kelly na Makuna wa makuna,Vumbi na mtutu wake,atalaku Mudjanga Mwema aka mzee Chekecha, wapi ? Nkulu wa Bangoi bandoki moto.
ReplyDeletewadau FFU ughaibuni