Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. duh kweli si kila mtu ni mwandishi au mtangazaji,huyo anayehoji mie hoi!!

    ReplyDelete
  2. nimeipenda hapo mwisho" u will never be american we kam ni muhaya utabaki kuwa muhaya hata ukiongea kama mmarekani na ukakunja ulimi vipi utabaki kuwa muhaya" Ben mwaipaja wa Kijiwe cha ughaibuni umeisikia hiyo??

    ReplyDelete
  3. keep it up Alex

    ReplyDelete
  4. Nimekupata kaka job well done! I like the interview! Ila kuhusu kuinua kiwango cha soccer tunatakiwa kuanza kuwalisha watoto tangu wanapozaliwa! Ila maisha ya marekani sio magumu bali ni very expensive!

    ReplyDelete
  5. Kingine maisha ya marekani sio mabaya kama anavyosema mdau! Ni tabia ya mtu ndo mbaya kama mtu haupo focus hata ukiwa bongo maisha yako yatakuwa mabaya! Wapo waliochemsha na wapo waliofanikiwa ughaibuni! kwahiyo inategemea na wewe mwenyewe! mbona wewe ni mtangazaji mzuri na upo focus na career yako na unaonekana umefanikiwa kutimiza ndoto yako! Nafikiri tunahitaji debate hapa. But Great interview!

    ReplyDelete
  6. Anonywa kwanza, ulitaka jamaa avae suti na tai?kwani anatangaza taarifa ya habari? Hawa jamaa wote wana exposure kubwa wote wanaishi ughaibuni,wako real and natural

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...