Home
Unlabelled
RAHIM KANGEZI EXCLUSIVE INTERVIEW WITH SWAHILI TV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duh kweli si kila mtu ni mwandishi au mtangazaji,huyo anayehoji mie hoi!!
ReplyDeletenimeipenda hapo mwisho" u will never be american we kam ni muhaya utabaki kuwa muhaya hata ukiongea kama mmarekani na ukakunja ulimi vipi utabaki kuwa muhaya" Ben mwaipaja wa Kijiwe cha ughaibuni umeisikia hiyo??
ReplyDeletekeep it up Alex
ReplyDeleteNimekupata kaka job well done! I like the interview! Ila kuhusu kuinua kiwango cha soccer tunatakiwa kuanza kuwalisha watoto tangu wanapozaliwa! Ila maisha ya marekani sio magumu bali ni very expensive!
ReplyDeleteKingine maisha ya marekani sio mabaya kama anavyosema mdau! Ni tabia ya mtu ndo mbaya kama mtu haupo focus hata ukiwa bongo maisha yako yatakuwa mabaya! Wapo waliochemsha na wapo waliofanikiwa ughaibuni! kwahiyo inategemea na wewe mwenyewe! mbona wewe ni mtangazaji mzuri na upo focus na career yako na unaonekana umefanikiwa kutimiza ndoto yako! Nafikiri tunahitaji debate hapa. But Great interview!
ReplyDeleteAnonywa kwanza, ulitaka jamaa avae suti na tai?kwani anatangaza taarifa ya habari? Hawa jamaa wote wana exposure kubwa wote wanaishi ughaibuni,wako real and natural
ReplyDelete