Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongea na watoto waliokutana nao kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam leo April 7, 2013 walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakishuka kutoka kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam leo April 7, 2013 walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi. PICHA NA IKULU.
Rais wangu kwa kujichnganya na wananchi..Keep it up
ReplyDeleteThis dude is cool as hell . . . you can say what you want. Thats wassup Mr. President!
ReplyDelete