Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kulia) na Mwenekiti wa Chama cha Pool Taifa (TAPA),Isach Togocho wakionyesha zawadi ya Kombe atakalopata Bingwa wa mashindano ya Pool kwa Vyuo vya elimu ya juu kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Pool kwa Vyuo vya Elimu ya Juu yanayotarajiwa kuanza Mai 42013 Mkoani Iringa iliyofanyika TBL Dar es Salam.Katikati ni Katibu wa Chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga na Mwenyekiti wa waamuzi,Hashimu Shaweji.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akichheza kuashilia uzinduzi wa mashindano ya Pool kwa Vyuo vya Elimu ya Juu uliofanyika TBL Dar es Salaam jana.Kushoto ni Mwenekiti wa Chama cha Pool Taifa (TAPA),Isach Togocho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...