Familia ya Bwana Peter Lazarus inasikitika kutangaza kifo cha Peter Lazarus kilichotokea Dar-Es-Salaam, Tanzania Juzi saa mbili usiku. Marehemu alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Ndugu, jamaa na marafiki wote wa marehemu Peter Lazarus mnaombwa michango yenu ya hali na mali ili kufanikisha zoezi la kusafirisha familia ya marehemu kwenda kwenye mazishi siku ya Alhamisi tarehe 25 Aprili 2013.

Manombwa kuweka michango yenu katika akaunti ya:

Benki: HSBC Bank

Jina la akaunti: WTM Utility Services

Sort Code:40-09-06

Akaunti Namba:71666975

Kwa taarifa zaidi wasiliana na:


Wilson Mutabazi-07887694186

Jerome -07908630922

Abu Faraji -07515373904


Bwana ametoa, Bwana ametoa.Raha ya milele umpe eh Bwana.

Na mwanga wa milele umwangazie Apumzike kwa amani.

Amina.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. poleni sana wafiwa R.I.P peter.

    ReplyDelete
  2. Poleni sana, tunaomba taarifa zaidi za benki ili tuwachangie.may your soul rest in peace peter-goldfinger!

    ReplyDelete
  3. Mama BARAKAApril 23, 2013

    DEAR PETER YOU LEFT US TOO SOON. BUT ALAS WE ARE NOT HERE TO QUESTION ALLAH, WE THANK HIM FOR GIVING US YOU IN OUR LIVES. IT WAS A VERY SHOT TIME OF A PERIOD BUT YOU GAVE US A SMILE. MY THOUGHTS GOES OUT TO BABY IMAN,TINA AND ALL THOSE WHO HAVE BEEN TOUCHED WITH THIS GREAT LOSS, R.I.P MY SON, WILL ALWAYS REMAIN IN OUR PRAYERS.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...