Mratibu wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 kutoka BASATA Bw. Luhala akitangaza majina ya walioteuliwa kuingia kwenye mchakato wa tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika Juni 8, 2013 pale Mlimani City jijini Dar.
Meneja kilaji cha Kilimanjaro Premium lager, Bw. George Kavishe akifafanua jambo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mapema leo jijini dar kuhusiana na mchakato mzima wa tuzo hizo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013.
BOFYA HAPA kuona walioingia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo hizo.

.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...