Mshindi ni simba, mara ya mwisho alimfunga Yanga 5-0. Kwa kuwa mechi iliyofuatia baada ya ile ilikuwa 1-1, kwa matokeo ya Jumamosi matokeo ya jumla (aggregates) itakuwa 3-0. kama hujui mahesabu mjomba, pole
Home
Unlabelled
haja ya hoja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Eeeh umeona ee?huitaji kwenda twisheni hesabu hizo!! Ila jamaa zangu wabishi hao na hilo watalibishia!!
ReplyDeleteakili zako kama za mtoto wa kike vile. Na sijuwi kama mathematics ulisomea wap ww. Ya msimu uliyopita yamepita huu ni msimu mwingine kenge ww
ReplyDeleteWewe.
DeleteTafadhali sana usiharibu hali ya hewa hapa! Badilisha kauli yako,eti akili kama za mtoto wa kike! Kama una ndugu wa kike wenye akili ndogo ni usijumlishe wote pamoja. Tafadhali sana sana
Huyo Mushumbusi mbona jina la ki Yanga Yanga tu.Maana hawa ndugu zangu robo tatu Yanga tupu, kwao Yanga kama dini.
ReplyDeleteHata uwaambie mahesabu gani unapoteza muda.
Pole sana Mtani! Labda kwa hesabu hizo utapata uzingizi leo.
ReplyDeletendugu yangu uliyeleta hii mada. Kama umemaua kurudi katika historia basi rudi kwa busara. Utagundua kwamba Yanga imeshampiga Simba mara nyingi na kwa aggregate Simba iko nyuma ya Yanga sana. Sasa amua kwenda mbele na ukiamua kurudi, basi usirudi hatua moja, rudi kikwelikweli utaona usivyojua hesabu
ReplyDeleteMfa majji heshi kutapatapa kwa hesabu zako KOMBE limeenda wapi? Au wewe ndo unaakili kuliko hao walotwaa kombe kwa mabingwa YANGA acha hizo bana
ReplyDeleteKweli washabiki wa simba ni wabishi, kama punda.
ReplyDeletewaliokimbia mambo ya Matrix, QM, hawawezi kamwe kukuelewa Mdau!
ReplyDeletemchangiaji namba 2 shika adabu yako! kama huna ulimi usilazimishe kuongea, akili ya mtoto wa kike unaijua? haina tofauti na ya mama zako, dada zako shangazi zako..., mpira wa simba na yanga unahusiana vipi na mtoto wa kike?
ReplyDeleteUkitaka kujua mshindi ni yule aliyewahi kutwaa hilo kombe mara 23 dhidi ya yule aliyelitwaa mara 19 ! Hayo ni maneno ya MKOSAJI ! Lakini hata hivyo hatuwakatazi WANA MSIMBAZI kujiriwaza kwa njia wanaoijua wao kwa manufaa yao BINAFSI !
ReplyDeleteYANGA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ! SIMBA mdebwedooooooooooooooooo !
Mtoto wa kike mwenye akili kama Dr. Asha Migiro
ReplyDeleteWewe mchangiaji wa pili waheshimu bibi, mama , shangazi dada, na mkeo. Akili zao kama za mtoto wa kike Mamaako aliyekuzaa angekuwa na akili kidogo leo ungeweza kuchangia hapa? mbona ungefia tumboni, au ungekufa underfive? Respect women Please as we are all Human being.
ReplyDeleteMshindi Simba kwani bado tunadai 5 - 0 zetu. Kombe sio shida tunalichukua mwaka huu usijali sana kwani huwa tunapokezanaga. Lakini refa tumempiga, alileta uyanga wake tehetehetehetehe...............
ReplyDeleteHahahah yeboyebo wengi wamekimbia umande! Sasa ngoja niwafundishe hesabu.Tuliwachapa vitano! Mmechomoa viwili, deni linabaki vitatu!! Mnavyo hivyo bado vinaning'inia sijui mtavilipa lini!!!!
ReplyDeleteni vizuri kujiliwaza, ila manyoya yanaonekana, atakuwa kaliwa hata kama aliwahi kung'ata.
ReplyDelete