Afisa mkuu wa kampuni ya Maxcom Africa Bw. Ahmed Lussasi akiongea na wandishi wa habari baada ya kushiriki sherehe za uzinduzi wa awamu ya pili ya mashine za risiti za TRA. Kampuni ya Maxcom Africa ni moja ya wasambazaji wakuu wa mashine za TRA

Kamishina Mkuu wa TRA Harry Kitilya akibadilishana mawazo na afisa mkuu wa kampuni ya Maxcom Africa wakati wa sherehe za uzinduzi wa awamu ya pili ya mashine za risiti za TRA. Kampuni ya Maxcom Africa ni moja ya wasambazaji wakuu wa mashine za TRA

Kamishina Mkuu wa TRA Harry Kitilya akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Maxcom Africa pamoja na wafanyakazi wa TRA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2013

    Hongera Maxcom Africa kwa kupata nafasi nyingine ya kuwahudumia watu. Nikimtazama Bw. Ahmed Lussasi naona UUNGWANA, na MALEZI bora, inawezekana macho yangu yana kiwi , lakini naamini kabisa kwa nilichoona huyu Bwana ana tabia fulani iliyojengwa na maadili mema. Hongera sana

    ReplyDelete
  2. Safi sana MAXCOM, made in Tazania! iendele, tunahitaji kutumia Makampuni yetu, sio ya wageni! Bravo!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2013

    huyo pembeni ni Nesta?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...