Home
Unlabelled
Kinana amjia juu mchungaji msigwa, adai kufutiwa kashfa na kutukanwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mojawapo ya vipengele vibovu vinavyowatia ngebe wabunge wa Tanzania ni kile kipengele cha kinga na haki za wabunge.Kipengele hiki kimekuwa kinatumiwa vibaya na wabunge hata kufikia hatua ya kuropoka chochote au kudhalilisha watu au jamii fulani kisa tu eti mropokaji ametamka upuuzi wake ndani ya bunge na yeye pia ni mbunge hivyo ana haki na kinga ya kutoshtakiwa hata kama kile anachotapika hakina uhakika.Nina hakika kama hakutakuwa na mipaka ya kuongea ndani ya bunge letu,itafikia wakati mbunge anaweza kusimama na kuutangazia umma kuwa ameshawahi kulala kitanda kimoja na mama/baba wa fulani au mke/mume wa fulani na akataka alindwe kwa kutoshtakiwa kwa sababu tu ana kinga za bunge.Huku ndiko tunakoelekea mwisho wa siku watu watasubiriana mitaani na bakora au bastola kushikishana adabu
ReplyDeletesometimes mikwala inasaidia
ReplyDeletejukumu la kulipa gharama za kesi ni za mlalamikaji wa mshtakiwa?
ReplyDeleteHuyo mchangiaji wa mwanzo hapo amezungumza pumba tupu. Yaani unataka wabunge wapewe mipaka ya kuzungumza, ili mafisadi ya CCM yaendelee kupeta na maovu yao, sio?
ReplyDeleteTuhuma alizotoa Mh. Msigwa ni nzito,na anachotakiwa ni kutoa udhibitisho wa tuhuma hizo tu,na sio kama anavyodai Wakili wa Kinana kwamba Kinana "ni mtu safi na ametumikia taifa kwa muda mrefu" hizi sio hoja za msingi kabisa.
Tunataka Wakili aje na udhibitisho kwamba tuhuma zilizoelekezwa kwa kinana sio za kweli, na hii itahitaji vielelezo na sio blah blah blah tu.
Wabunge waendelee kupewa kinga, ili waendelee kutetea wananchi na nchi bila woga wa kufunguliwa mashtaka yasiyo na kichwa wala miguu. Mpaka sasa historia inaonyesha kwamba wabunge wengi waupinzani waliowahi kutoa hoja nzito wamefanya hivyo, ili hali wakiwa na uhakika kwamba ushahidi upo wa kile wanachozungumza. Kwahiyo, tusianze kutishana hapa kwamba "tunaelekea pabaya" Kwa maoni yangu tunaelekea pazuri kabisaaaaaaa....