Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2013

    Hongera sana Bwana Alex Kassuwi, vipindi vyako vizuri sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2013

    Jezi ya jamaa alivyoshika Kipaza sauti inawatiwa woga MSIMBAZI.

    Maumivu makali wangali wanayo baadaya MIBOLO miwili KAVUKAVU kuzama juzi Jumamosi.

    Yanga BUNDUKI !!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2013

    hahahahaha

    Kufungwa jamani kubaya.

    Mdau wa Pili juu, wangali wamelala Kitandani hata kugeuka hawawezi baada ya KULOWESHWA kwa KUKOJOLEWA viwili !

    Ohhh si mlikuwa napiga kilele?

    YANGA RIJALI.

    Kumyaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...