Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe (kulia) akimkabidhi dhamana Mhe. Emmanuel Ole Naiko aliyeteuliwa na serikali ya Botswana kuwa balozi wake wa heshima hapa nchini.  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2013

    Hongera sana Balozi Mteule wa Botswana Mwananchi mwenzetu hapa Tanzania Mhe. Emmanuel Ole Naiko.

    Umetuwekea Heshima kubwa kabisa !

    Ahsante sana!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2013

    Kumbe ulipokuwa Tanzania Investment Center ulikuwa umewafanyia kazi na kuwakilisha wengi!!! Hongera

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2013

    Jamaa wa CEO Roundtable walikuwa wa kwanza kumtambua huyu bwana,na wakampa tuzo la heshima mwishoni mwa mwaka jana. alexbura dar

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2013

    Congrats Sir!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...