MABINGWA WAPYA WA KANDANDA NCHINI YANGA WAMEMALIZA LIGI KUU YA VODACOM KWA KUWAPA RAHA MASHABIKI WAKE KWA KUICHAPA SIMBA BAO 2-0 KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR E SALAAM LEO NA MPIRA NDIO UMEMALIZIKA DAKIKA HII.

PAMOJA NA KUMCHINJA MYAMA KATIKA MECHI HIYO YA KUTIMIZA WAJIBU (YANGA WALISHATANGAZWA MABINGWA SIKU KADHAA ZILIZOPITA), YANGA PIA IMEKABIDHIWA KOMBE LAKE LA UBINGWA MBELE YA UMATI WA WATAZAMAJI 60,000 WALIOFURIKA UWANJANI HAPO. 
HII NI MARA YA 24 KWA YANGA KUIFUNGA SIMBA WAKATI SIMBA IMEWAFUNGA YANG MARA 19. ILA HADI SASA SIMBA INAONGOZA KWA KUIFUNGA YANGA KWA MABAO MENGI, IKIWA NI PAMOJA NA 6-0 NA MABAO 5-0 AMBAYO BADO YANGA HAWAJAJIBU MAPIGO.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mikausho MikaliMay 18, 2013

    picha please

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2013

    Cha Maana mnyaka kafungwa leo period. habari za 6-0 na 5-0 ni vitu vingi vimechangia ikiwa ni hujuma za wachezaji na viongozi

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 18, 2013

    Kumbe na wewe ni upande ulioondoka Kichwa chini.....Yanga Oyeeeeeeee

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 18, 2013

    IYYAAAA! KISHA PAKATWA!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 18, 2013

    hawata kaa waweze rudisha tano

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 19, 2013

    Yanga imeshawahi kuifunga Simba 5-0 Michuzi huna kumbukumbu kabisa!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 19, 2013

    Yanga oyeeeeeeeeee. Vijana wanastaili.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 19, 2013

    Nilisema lazima tutapawapiga kipigo cha mbwa kachoka a.k.a dogstyle chezea yanga wewe watakukandamiza mguu wa mtoto ushindwe kupata haja kubwa nenda kachezee digidigi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...