.Mwananchi akipata maelezo toka kwa ndugu Claver Happy Mwinuka mshiriki wa maonesho kwenye Banda la Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa kazi (OSHA) kwenye wiki ya Hifadhi ya Jamii Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa OSHA Dr. Akwilina Kayumba, akimkabidhi Machapisho mbalimbali ya OSHA,Bi Irene Isaka alipotembelea Banda la OSHA kwenye maadhimisho ya Wiki ya Hifadhi ya Jamii Dodoma.
Mmoja wa wafanyakazi wa Kiwanda cha kutengeneza Magodoro cha Modern Mattress cha mjini Dodoma akipima afya yake, kwenye Viwanja vya Nyerere Square, kwenye maadhimisho ya Wiki ya Hifadhi ya Jamii
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Magodoro cha Mdoern Matresscha mjini Dodoma wakipata maelekezo kutoka kwa Dr. Wambura juu ya upimaji wa mapafu kabla ya kuanza kwa zoezi la upimaji kwenye banda la OSHA.
.Mfanyakazi akipima uwezo wa mapafu kuafanya kazi kwenye Banda la OSHA kwenye maadhimisho ya wiki ya hifadhi ya jamii Dodoma. Picha na Afisa Habari-OSHA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...