Courtesy of GongaMx

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2013

    Mbona malalamiko yanazidi,
    Nadhani kuna la kujadili.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2013

    thats true you guys need a change now hao clouds wanawaonea sana wasanii wa kibongo jamaa shwain sana hao

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2013

    Dah jamaa wanazidi jiharibia cv yao,in future sidhani kama kuna mtu atawafagilia tena like the way it used to be! all I can say is that these guys are digging their own damn grave!

    ReplyDelete
  4. A real man never bit around the bush, always call a spade a spade. P has spoken, hopefully he will stick to his words. Wasanii wanatakiwa waajiri ma meneja and not the other way around.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2013

    Precies jonger komt uit Amsterdam dat is echt

    ReplyDelete
  6. Hahahaha hii interview imenifurahisha majaaaani amepoteza mshirika wa mambo flani hivi.
    Anyway, kufanyakazi na clouds ni hiyari ya mtu na unapoingia mkataba angalia maslahi yako kamwe usitegemee the other party will take care of your interest.
    Pili, wasanii wakae mkao wa kibiashara zaidi.Pesa wanayopata haitawatosha hata kama watapewa 100%, wabadilishe mitazamo wawekeze pesa zao kwa kukuza biashara na siyo kuishia kwenye majani, mitungi, mikasi, nk halafu unalaumu clouds fm
    Badilikeni!!!

    ReplyDelete
  7. Mtoto wa Kabwela,SwedenMay 31, 2013

    Wasanii wote wa Bongo Flava wanatakiwa waungane na wakatae nyimbo zao kupigwa Clouds.Clouds wakipga wanawapeleka mahakamani kudai fidia na mabilioni na kusababisha kituo cha kufilisiwa.Redio haiko moja tu na waajiri wanasheria kushinikisha serikali kupitisha sheria za haki kama nyimbo zao zikipigwa Redio au kuonyeshwa kwenye vituo vya TV walipwe hela.

    Mtoto Wa Kabwela,Sweden

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 31, 2013

    Ni wakati wa CLOUDS FM Kujitafakari!! There must be operating factor(s) going for these complaints kutoka kwa wasani kizazi kipya! Mzozo ulianza na kundi lililojiita vinega,kaja Lady JD na sasa mzozo unaonekana kutapakaa! Huyu ni Majani.Hiyo factor isiposhughulikiwa wengine watafuata.wadau hatuelewi!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 31, 2013

    UMOJA NI NGUVU

    ReplyDelete
  10. @Mtoto Wa Kabwela, Sweden, unalosema la kuungana ni nadharia tu na hata hivyo halina tija ni sawasawa na kusema unarudisha Ujamaa kwa kutaka kuwepo maduka ya ujamaa, mashamba ya ujamaa, nk. Hivi wanamuziki kama Diamond, Ali Kiba, nk wanaweza kuelewa hooja yako? Washauri hao wanamuziki wabadilike, wanapoingia mikataba ya hiyari na clouds au chombo chochote washirikishe wataalam. Zaidi ya hapo wabadilike tabia, wawe serious zaidi kwenye maisha ya kweli na si maisha ya TV.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 31, 2013

    i hate you clouds fm, mnawanyanyasa sana wasanii wanaojitafutia risiki zao,nyie mnatajirika, God will show you. Thank you Jide for speaking your heart. I think its time wasanii wengine nao wajitokeze to stand for their rights. Clouds,just one thing you should know, you are now going down. Majani, you said it all!!!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 31, 2013

    Key words: 'Distribute', 'Support Empire', 'We have to make a CHANGE'...

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 31, 2013

    Clds FM,

    Acheni kujifanya Miungu!

    ReplyDelete
  14. So far hakuna ambaye amesema wasanii wananyonywaje, hakuna aliyekamatwa kwenda clouds fm, radio zipo nyingi kwanini wanakwenda clouds kama inawanyonya? Tubadilike, let these young people wajielewe, cliouds isn't there kubabysit wababaishaji. Kama unanyonywa halafu bado unakwenda hapo hapo maanake unapanufaika. Aidha, anayeona kuwa hawezi kufanyakazi na clouds fm asimame mwenyewe.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 02, 2013

    Nafikiri tunapaswa kuacha kuilaumu Clouds na kutambua kuwa MFUMO wa KIBEPARI ndivyo unavyofanya kazi. CLOUDS ni biashara kama biashara nyingine zinazoendeshwa katika mfumo wa kibepari. Kwa hiyo basi wanamuziki wa kibongo waache kulia lia wajitume na wajue kuwa tatizo sio fedha ziingiazo bali zitokazo. Wajifuenze kujitegemea kwa kutumia mapato yao kwa busara. Kwa mantiki hiyo wanapaswa kujifunza kuwekeza badala ya kungojea miaka kadhaa kulalamika. Hongera sana CLOUDS keep the ball rolling

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...