Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal, Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Mawaziri Wakuu wastaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na Dkt Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru na viongozi wengine wakiungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwet akiongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2013.PICHA NA IKULU





Muumba akurehemu
ReplyDeleteInna Lillah Wainah Illah Rajiuun. Allah akughuforie madhambi yako inshaa Allah.Hakika uliandika historia ya harakati ya Uhuru Tanganyika. Aamiin.
ReplyDeleteInna Lillah Wainah Illah Rajiuun. Nimesikitika sana alikuwa boss wangu miaka mingi iliyopita. pole kwa family
ReplyDelete