Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal, Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa,  Mawaziri Wakuu wastaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na Dkt Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru na viongozi wengine wakiungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2013.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwet akiongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2013.PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2013

    Muumba akurehemu

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2013

    Inna Lillah Wainah Illah Rajiuun. Allah akughuforie madhambi yako inshaa Allah.Hakika uliandika historia ya harakati ya Uhuru Tanganyika. Aamiin.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2013

    Inna Lillah Wainah Illah Rajiuun. Nimesikitika sana alikuwa boss wangu miaka mingi iliyopita. pole kwa family

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...