Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Kigamboni wakiwa kwenye mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na kinyang'anyiro hicho kitakachofanyika Ijumaa Juni 7 mwaka huu kwenye ukumbi wa Navy Beach ulioko Kigamboni jijini Dar es salaam. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2013

    Dada zanguni, acheni images za mannequins au ma-dummies kwa hizo nywele zenu za feki. Wazungu huku Ulaya wanawaona kuwa mnaiga sana hata kuuwashinda wenyewe kwa hizo nywele za Kihindi!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2013

    wangesuka rasta za kimasaije?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...