Mdau Shaffih Dauda wa Clouds FM akiongozana na Ismail Sota walitembelea ofisi za SERENGETI FREIGH UK huko Uingereza kujionea jinsi boxi linavyopigwa
Pamoja na kujionea wazee wa kazi wakipiga boxi.
Mdau Shafii ambaye pia ni mmiliki wa blog ya sports iitwayo Shaffihdauda.com aliingia mkataba wa kuwarusha hewani wazee wa kazi bila malipo kwa mwaka mzima baada ya kufurahishwa na jinsi wazee wa kazi walivyoweza kulirusha jina la Tanzania/Serengeti UK na kuwa mfano bora kwa vijana wengine wenye nia ya kujiajiri.
Mzee wa kazi Chris Lukosi akimshukuru Shafii Dauda kwa ofa yake
Mzee wa kazi akipiga boxi
Mkataba ukisainiwa





Lugha jamani!! Mi mshaniacha na ninaamini wengi wanatafakari! Kupiga box?? Ni kula sana magimbi? Ni kupigana mingumi au kuchapa kazi sana? Ukiitumia lugha za mtaa,siku nyingine ufafanue mjomba!!!
ReplyDeleteKula magimbi!!!!!
ReplyDelete