Redd's Miss Mzizima 2013,Shamim Mohamed (kati) akipunga mkono muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa taji hilo katika shindano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Lamada jijini Dar es Salaam,mwishoni mwa wiki.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili,Munira Mabrouk (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu,Rehema Mpanda.
 Warembo wa Redd's Miss Mzizima walioingia katika hatua ya tano bora,wakiwa wamejipanga kusubiri kupatikana kwa mshindi.
 Redd's Miss Mzizima 2013,Shamim Mohamed (kulia) akikabidhiwa hundi ya dola 450 kutoka kwa Mamaa wa Mitindo,Asia Idarous.
 Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya mambo yao jukwaani. 
Waratibu wa Shindano la Redd's Miss Mzizima,Kushoto ni Sunday Mozzy pamoja na Osango wakipozi kwa picha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2013

    Picha ya mwanzo Munira almanusra puppies watoke nje kucheza. Inawezekana waliokuwepo hapo pamoja na mapaparazi waliona zaidi ya picha inavyoonyesha. Tanzania tuzidi kuiga mamboa ya ughaibuni!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2013

    Hakuna haja ya waoshwa vinywa kunirushia mawe, najua mtakachosema, uhuru wa kufanya tulitakalo na blah blah blah nyengine lakini kama muislamu nasema wazi tu kuwa inaniuma sana kuona vijana wa kike wa kiislamu wakifata maadili yasio ya dini yao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...