Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2013

    Mzee michuzi tunataka video ya mechi kamili tuone na sisi wa ughaibuni.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2013

    Kweli tuangushie kitu kilivyopigwa nasi tukishhuhudie japo swahili husema lakuvunda halina ubani

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2013

    jamani video jamani.sisi tuko.us tunataka kuona japo magoli

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2013

    HONGERA YANGA,asante Francis Dande.Lakini una uhakika huyo Refa aligongana bahati Mbaya na Kavumbagu?.Si kitu kigeni kwa refa kuanguka uwanjani kwa nanmna yoyote ile,ila naomba TFF irudie kuangalia vizuri Footage ya hilo tukio.Niwapongeze supersport kwa kuondoa haraka picha za hilo tukio kwenye mtiririko wa Matangazo yao.Shame

    David V

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 19, 2013

    hivi msimu ni 2012-13...au 2013-14, naomba mnijuze hapa kwani nahisi utata. nuonavyo mimi msimu wa 2013-14 bado hatujauanza na bingwa hajajulikana. MSAADA TAFADHALI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...