Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa akizungumza machache kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa uzinduzi wa huduma mpya za Benki ya CRDB kupitia kwa Mawakala iitwayo FahariHuduma 'Ulipo Tupo' jijini Dar es Salaam.
Dk Kimei akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa huduma mpya za Benki ya CRDB kupitia kwa Mawakala iitwayo FahariHuduma 'Ulipo Tupo'.
Wageni waalikwa katika uzinduzi huo, wakisikiliza hotuba ya Mkurugenzi Mtendaji Dk Kimei (hayupo pichani).
Ofisa wa benki ya CRDB, Ivonne Milinga akitoa maelekezo kwa baadhi ya wageni kuhusu namna ya kujaza fomu za kuomba uwakala wa FahariHuduma.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...