Furaha ya burudani ya miaka ilee sasa imerejea. Melegendari sasa wamekiri kuwa walichokikosa kwa muda mrefu, sasa kinapatikana isumba lounge -jollies club kila ijumaa na j'mosi. Ni katika night of the legends na DJ John Dillinga aka The Legend is Back, DJ Fast Eddy na DJ Young Kelvin. Njoo ujumuike na malegendari wenzako ukumbukie wakati muziki ukiitwa muziki. Milango iko wazi saa 3 usiku, kiingilio 10,000/-. Karibu sana. 4 more info or comments like facebook page @www.facebook.com/pages/DJ-JD or follow instagram @DJJDTHELEGEND
Home
Unlabelled
Furaha ya burudani ya miaka ilee sasa imerejea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...