Marehemu Jerome Mpefo
Kutakuwa na Harambee ya kuchangia gharama za kusafirisha mwili wa marehemu nyumbani Tanzania.Harambee itafanyika Jumamosi
Juni 15, 2013 saa kumi jioni katika anuani ifuatayo:
Juni 15, 2013 saa kumi jioni katika anuani ifuatayo:
Memorial Lutheran Church ,
5800 Westheimer Road , Houston, TX 77057.
Tunaombwa kina Baba kuleta Vinywaji na Kina Mama kuandaa Vyakula.
Pia imefunguliwa Account maalumu kwa ajili ya msiba huu.
BANK OF AMERICA,
Account number - 5860 3352 2448
Routing number - 11300023
Jina: Stella Liming.
Asanteni,
Wenu katika jumuia,
Juma Maswanya.
I'll miss u uncle Jerome RIP*tears*may God be with u uncle .If u r reading this people u have to know Jerome is my real uncle cuz he is my moms cousin rest in peace uncle!!!!!
ReplyDeleteYour uncle Jerome was a nice man Jamani roho ina Uma mnoooo Jamani .Hivi ina kuwaje Mtu Mzuri hivi Anaondoka .Jerome upumzike kwa Amani mungu wangu .Short time ulikuwa na sisi
ReplyDeleteTutakukumbuka daima Jerome R.I.P
ReplyDelete