MKUU WA JKT MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAWAITA VIJANA 10,849 WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MWAKA 2013 KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KAMA IFUATAVYO:-
1. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA WALIOPATA DIVISION I NA DIVISION II.
2. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA WALIOSOMA MASOMO YA MCHEPUO WA SAYANSI NA KUPATA DIVISION III.
3. VIJANA HAO WANATAKIWA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI YA JKT TAREHE 24 JUNI 2013 BILA KUKOSA. AMBAYE HATARIPOTI ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.
4. TANGAZO HILI HALIWAHUSU VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA 2013 KATIKA SHULE ZA SEKONDARI ZA UNGUJA NA PEMBA. AIDHA, SHULE 27 AMBAZO VIJANA WAKE WAMEHITIMU MAFUNZO YA JKT AWAMU YA KWANZA HAZIHUSIKI.
5. VIJANA HAO WATUNZE TIKETI ZAO KWA AJILI YA KUREJESHEWA NAULI WATAKAZOTUMIA MARA TU WATAKAPORIPOTI VIKOSINI.
6. TAARIFA ZAIDI ZITATOLEWA KWENYE MAGAZETI MBALIMBALI YA HAPA NCHINI.
1. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA WALIOPATA DIVISION I NA DIVISION II.
2. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA WALIOSOMA MASOMO YA MCHEPUO WA SAYANSI NA KUPATA DIVISION III.
3. VIJANA HAO WANATAKIWA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI YA JKT TAREHE 24 JUNI 2013 BILA KUKOSA. AMBAYE HATARIPOTI ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.
4. TANGAZO HILI HALIWAHUSU VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA 2013 KATIKA SHULE ZA SEKONDARI ZA UNGUJA NA PEMBA. AIDHA, SHULE 27 AMBAZO VIJANA WAKE WAMEHITIMU MAFUNZO YA JKT AWAMU YA KWANZA HAZIHUSIKI.
5. VIJANA HAO WATUNZE TIKETI ZAO KWA AJILI YA KUREJESHEWA NAULI WATAKAZOTUMIA MARA TU WATAKAPORIPOTI VIKOSINI.
6. TAARIFA ZAIDI ZITATOLEWA KWENYE MAGAZETI MBALIMBALI YA HAPA NCHINI.
Majina ya waliochaguliwa na vituo watakavyokwenda:
Kwa maelezo zaidi ya kambi mbalimbali walikopangwa tembelea www.jkt.go.tz KUNRADHI/ANGALIZO TOKA MICHUZI BLOG: BANDWITH YA SERVER YA JKT IMEHEMEWA KWA WINGI WA WASOMAJI HIVYO LINK HIZO ZINA KWIKWI.. |
Kwa hiyo kifupi JKT imerudi au ? Nadhani ni safi sana. Huwezi amini namna JKT ilivyonisaidia...enzi zile nikiwa jeshini mwaka 1975... tulikua tunaichukia (na kunung'unika) lakini leo namshukuru Mungu n'lifanya. Unayamudu maisha, ugumu na raha zake. Nadra sana kusikia mtu aliyepitia JKT akasema anajiua maisha yamemzidi. Inaondoa ulegevu na upuuzi na yakupa nidhamu ya kimaisha. Ila tu waangalie mateso ya kina dada- walikua wakiwatia mimba nk
ReplyDeleteserver imebuma:
ReplyDeleteBandwidth Limit Exceeded
The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later
Zamani ilikuwa wanafunzi wote wanaomaliza kidato cha sita wanakwenda JKT, kwa utaratibu huu wa kuchangau baadhi nadhani utaleta malalamiko makubwa. Pili, kwa bahati mbaya viongozi karibu wote walioshiriki ktk ufisadi hapa nchini wote walipitia JKT kwa hiyo siyo kweli kwamba uzalendo utakuwepo kwa kurudisha JKT!!
ReplyDeleteWale wa Zero wanahitaji kuwepo JKT mwaka wapate ufundi wa aina aina
ReplyDeletemimi na unga mkono swala la jeshi ila mateso ya sihusishe uko sefu wa mahitaji muhimu kama maji kwa maana maisha magumu siyo uko sefu wa mahitaji muhimu
ReplyDeleteJAMANI UMUHIMU WA KUJIUNGA NA JESHI NI MUHIMU SANA,KWA MTU YOYOTE ALIYEMALIZA MASOMO.
ReplyDeleteKata K mwisho wake umefika, na Suruali za Modo KIBINDONI!
ReplyDeleteSi mchezo, zoezi hili la JKT litasaidia sana vijana wetu kuzinduka na kujitambua kwa kuwa 'kamili' nadhaani baadaya kuishi na Maafande kwa muda wa Kipindi cha Mafunzo hakuna atakayevalia suruli kwenye makalio!
Ni wazo zuri sana ILA angalizo tu ni kuwa kuwachukua vijana na kuwapeleka jeshinikwa vigezo vya ufaulu ishije ikawa chanzo cha kubaguana.Bora vijana wote wapewe nafasi hiyo ya kwenda jeshini.Isije ikawa wao wamechaguliwa sababu walifaulu kwa good classes na sisi tumeachwa sabau though tulifaulu but with least classes.Ingekuwa vema vijana wote waende kupata huo uzoefu na wafunzwe njia za kujitegemea kuliko kuwabakiza wengine mtaani.
ReplyDeleteMdau.
JKT imerudi na kuwa ni lazima? sheria hii imepita lini? na kwa nini sasa kuna mchaguo na sio kwa kila mwanafunzi aliemaliza masomo ya kidato cha sita?
ReplyDeleteHili swala la jkt silifagilii kabisa, watu wanaenda kuwa abussed na maafande, serikali lazima ifute mambo haya, doesn't make sense
ReplyDeleteINAMAANA BASI ELIMU ITASHUKA KWA SABABU UKIPATA DIVISTION 1 AU 2 NDIYO WANATAKIWA WAENDE JKT,WALE WASIOPENDA KWENDA JKT ITABIDI WAFANYE MITIHANI YAO VIBAYA,ANGALAO APATE DIVISTION 3 ,4 NA 0.HUU NI UJINGA KUCHAGUA WATU WENYE AKILI WAKATESWE NA MAAFANDE.
ReplyDeleteMTOA MAONI WA 10 JUU:
ReplyDelete........
Hili swala la jkt silifagilii kabisa, watu wanaenda kuwa abussed na maafande, serikali lazima ifute mambo haya, doesn't make sense
........
MASUALA YA MAFUNZO YA KIJESHI NI MUHIMU SANA KWA TAIFA, LICHA YA CHANGAMOTO ZAKE KADHAA.
Sasa unafikiri yule Mama Raisi wa Malawi Joyce Banda anayedai Ziwa Nyasa atakabiliwa na nani?, kama sio Majeshi ya vijana wa Tanzania licha ya kuwa Vita za Kisasa ni za Kidigitali zaidi?
HEBU ZINGATIA HALI HIZI:
1.KWA DUNIA NZIMA NCHI NYINGI SANA ZILIZO ENDELEA NA ZISIZO ENDELEA ZINAENDESHA MAFUNZO HAYA KWA VIJANA NA HASA WALE WANAOELEKEA KUITUMIKIA NCHI.
2.MADAI YALIYOTOLEWA NA IMF (SHIRIKA LA KIMATAIFA LA FEDHA) KUISHAURI NA KUIPA MASHARITI NCHI YETU TANZANIA KUFUNGA MAFUNZO HAYA MWAKA 1994 ILI KUBANA MATUMIZI YA SERIKALI HALIKUWA SULUHISHO LA KWELI, AU HAIKUWA SAHIHI.
WANA UCHUMI NA WATAALAMU WA KIFEDHA WAMESHA FANYA UTAFITI IKAONEKANA PANA WAKATI SERIKALI HUHITAJI KUONGEZA MATUMIZI ILI KUWEKA UWIANO SAWIA WA UTENDAJI WA NCHI KIUCHUMI KULINGA NA MZUNGUKO WA KIUCHUMI KWA KUWA KUBANA MATUMIZI PEKEE SIO NJIA SAHIHI ZA MASULUHISHO YA KIUCHUMI KUUWEKA SAWA UCHUMI KUIMARIKA KWA KUWA MARA ZINGINE TENDO HILO LIWAWEZA KUIDUMAZA NCHI KIUCHUMI ISIKUWE(GDP GROWTH STAGNATION, AND FISCAL STAGNATION).
3.PANA MDAU HAPO JUU AMEDAI YA KUWA MAFISADI WA SASA WENGI NDIO WALE WALIPITIA MAFUNZO HAYO YA JKT KIPINDI HICHO,
-SASA INA MAANA TUACHE KUSOMESHA MADAKITARI ILI TUKIOGOPA WATAIHUJUMU NCHI?,
-AMA TUSITISHE KUSOMESHA MAMENEJA TUKIOGOPA WATAKUWA MAFISADI?
-AMA TUACHE WAZAZI KUZAA TUKIOGOPA LABDA WATOTO WATAKUWA WAHALIFU?
KAMA MAFUNZO YANAVYOITWA MUJIBU WA SHERIA NI MUHIMU LICHA YA KUWA WATAKAO ZALISHWA WATAKUWA VIPI HAPO BAADAYE, TUNANGALIE FAIDA ZAIDI KULIKO HASARA.
Mdau wa 10 hapo juu:
ReplyDeleteHili swala la jkt silifagilii kabisa, watu wanaenda kuwa abussed na maafande, serikali lazima ifute mambo haya, doesn't make sense
WEWE MAWAZO YAKO YAMEELEMEA KWENYE KULAWITIWA NA KUNAJISIWA PEKE YAKE?
WEWE HUJASIKIA YA KUWA SUALA LA UNYANYASAJI WA KIJINSIA (ama SEX ABUSE) LIPO KWENYE MAJESHI MENGI DUNIANI MAREKANI NA UINGEREZA ZIKIONGOZA?
KWANI UNA MTOTO WA KIKE UKIOPOGA ASIJE KUHARIBIWA JESHINI?,,,KWA TAARIFA YAKO SEX ABUSE NCHI ZINGINE ZIMETOKEA KWA WANAWAKE KUWAFANYIA WANAUME!...KALAGA BAHO!
YAANI TUACHE KUTOA MAFUNZO YA KIJESHI KWA MASLAHI YA NCHI ILI IWEJE?, KAMA NI SUALA LA UKIUKAJI WAMAADILI JESHI HALIPO LIKIZO!!!,,,JESHINI ZIPO SHERIA KALI SANA PIA ZINAWEZA KUBORESHWA KULINGANA NA MAHITAJI NA WAKATI NA ZIKATUMIKA PINDI ASKARI AKIPATIKANA KUKIUKA.