Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mfalme Mswati wa Pili wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Juni 26, 2013. Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya
kuhudhuria Mkutano wa 'Smart Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mfalme Mswati wa Pili , baada ya
kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Juni 26, 2013. Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smart Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Mfalme Mswati wa Pili, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Juni 28, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 'Smart Patnership', unaotarajia kuanza Juni 28. Kushoto ni mke wa Mfalme Mswati. Picha na OMR.






Du! akienda nchi za Magharibi kule kwenye baridi ya mtu kuganda tavaaa hivia au itakuwaje! Utamaduni ni kitu muhimu sana!
ReplyDeleteAlivyovaa Mie hoi
ReplyDeletelowassa naye awe akivaa vazi lake la kimasai
ReplyDeleteToo much over the top dress
ReplyDeleteakiwa na mmoja kati ya wake zake 20
ReplyDeleteHuyo mke wake iweje asivae kimila? Arudi haraka chumbani avae kama mume wake.
ReplyDeleteduh...jamaa anafaidi kweli huyu.Kimwana cha ukwehe.Ngoja tuone The excellence atamualika mkewe tu aje kutumbelea next tym.
ReplyDelete