Miyeyusho akijifua kumkabili bondia Shadrack Machanje kutoka Kenya.
Mashali akipasha tayari kuzipiga na bondia Patrick Amote wa Kenya.
Mabondia wa hapa nchini Thomas Mashali na Francis Miyeyusho leo wamefanya mazoezi ya pamoja katika gym iliyopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Mabondia hao wanajiandaa kuwakabili wenzao kutoka Kenya ambao ni Patrick Amote na Shadrack Muchenje kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Julai 7 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar.
(PICHA NA MUSA MATEJA / GPL)
Kumbe gym za mana zipo huko bongo iweje mabondia wengine huwa wanaoneshwa hapa wakijifua aidha ktk kumbi za kata za CCM au maskani tu,Tena mabondia wenye sifa kubwa tu ktk medani huko bongo.
ReplyDelete