Home
Unlabelled
MIONDOKO YA KUMEREMETA KWENYE MNUSO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mzungu mpingo huyu siyo bure.
ReplyDeleteMichuzi tupe mipigo hii katika anniversary yako
ReplyDeletegroom got talent!
ReplyDeletehapo wapi?
ReplyDeleteBibi Harusi kapinda bwana harusi kanyongorota... hahahahaaaa
ReplyDeleteYou have made my day Ankali.
ebwanae huyu mzungu ni nourmeeeerr...hadi bolingo anacheza!!!
ReplyDeleteDaaa hii ni zaidi ya sherehe ya harusi, nadhani kama nao pia wanautaratibu wa kuchangia harusi kama bongo basi wahusika watakua wameridhika kwa burudani waliyopata, maana huyu bwana harusi ni waajabu kidogo mtu mweupe kucheza staili hizi ni nadra kwakweli hasa pale ilipopigwa midundo ya west-africa. Hii ni kiboko ya zote ulizotuletea mjomba.
ReplyDeletebaada ya miaka 10 wakiangalia wataichukiaje?
ReplyDeleteFantastic...makes me want to get married again!
ReplyDeleteLoved this. Thanx for posting. What fun!
The first song was also my song at my wedding which is sadly over.