Msajili wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) Herman Von Hebel akiweka sahihi kenye kitabu cha wageni katika Ubalozi wa Tanzania mjini Brussels kabla ya kuanza mazungumzo na Dr. Diodorus Buberwa Kamala, Balozi wa Tanzania BENELUX na Jumuiya ya Ulaya. Mazungumzo yamefanyika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania, Brussels.
Home
Unlabelled
Msajili wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai amtembelea Balozi Kamala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...