Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2013

    Duh! kweli alikua mtu wa watu. Yani maandamano utafkiri kiongozi mkubwa wa serikali

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2013

    Yaani vurugu tupu, hakukuwa na kamati ya protocol?

    ReplyDelete
  3. mungu amlaze mahali pema peponi jembe letu na mkumbuka sana jama na freestile zake pale cocobeach . tutakukumbuka sana wadau huku india

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2013

    Hivi kwanini hatujifunzi ustaharabu? Watu hawawezi kusimama pembeni kuonyesha heshima Kwa marehemu bila vurungu? Tumezoea viboki matakoni!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2013

    DSuuu! Vurugu machi ya hatari. sasa mtu hajui maana ya kusogea pembeni jamani? Halafu hao Mascauti kazi yao hapo ni nini maana naona wanashangaaa tu sana hawajielewi!! Kweeeli ustaarabu umekuwa mgumu hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...