Home
Unlabelled
mzee wa feva akichukua taswirazzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kizamaaaani mambo hayo yamepitwa na wakati mambo ya kutega njiani sikuhizi kuna vitu vya kurekodi masaa 24 sio siku hadi siku wanapojisikia kuvizia rushwa ndio wanaenda huko kazini kukamua maziwa maana ukipatikana na kosa hapo ni kutoa kitu kidogo na safari inaendelea mwendo mdundo
ReplyDeleteAnatafuta pesa akamalizie nyumba yake mzee wa kazi..
ReplyDeletevizuri amefanya kazi
ReplyDeleteSiku zote rada yao huganda kwenye spidi sitini
ReplyDeleteHapana hayapitwa na wakati. Si tu kwamba ni muhimu, pia yanasaidia kunenepesha mifuko yetu!
ReplyDeleteDress code ndani ya jeshi polisi imeenda likizo? Wapi kofia?
ReplyDeleteHuo mkao wa afende mie hoi!
ReplyDelete