MARIETHA NJIMBA (MRS. MZEE MFAUME)
Familia ya MZEE MFAUME na Wazazi Bw & Bibi CLAUDE NJIMBA wa Kinyerezi na Tabata Dar es salaam wanapenda kutoa Shukrani kwa wote walioshiriki katika msiba wa mpendwa wao MARIETHA NJIMBA (MRS. MFAUME) kilichotokea tarehe 29/05/2013 na kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni tarehe 01/06/2013.
Shukrani za pekee tunazipeleka kwa Uongozi na wafanyakazi wote wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dr Kisanga, Dr Mary, wauguzi wa Burhan Hospital, Mapadre na Waumini wa Parokia Katoliki ya Kinyerezi, Kristu Mfalme – Tabata, Majirani, Ndugu, Jamaa na Marafiki wote kwa jinsi mlivyoshirikiana nasi katika msiba huo. Sio rahisi kuwataja kwa majina wote walioshiriki nasi. Tunaomba mzipokee shukrani zetu kwa waraka huu.
Shukrani za kumaliza msiba huo zitafanyika nyumbani kwake Kinyerezi, siku ya Jumamosi tarehe 06/07/2013 kuanzia 02 asubuhi kwa Ibada ya Misa Takatifu nyumbani kwa Marehemu. Tunawakalibisha wote.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.



Mungu wangu Marietha njimba amefariki mtumeee.what happened tulisoma nae KIFUNGILO Jamani Jesus Christ.Yaani uwii Yaani kifungilo Watu mmeondoka .Kuanzia Justina katiti ,Marietta njimba,Linda chindongo,Janeth master,na wengine .May your soul rest in peace .
ReplyDeletePole mwl Njimba kwa msiba wa mwanao. Daaahh amakweli duniani tunapita hakuna mji udumuo. Mie mwanafunzi wako ustawi 2009 BSW. Doty
ReplyDeleteCku Zote 2takukumbuka cstar,2nakupenda sana.
ReplyDelete