MWEZI JUNE NI MWEZI AMBAO LADY JAYDEE AMEZALIWA BAADA YA SHOW KUAHIRISHWA KUTOKANA NA MSIBA WA NDUGU YETU ALBERT MANGWEAR, NA SASA HII NDIO TAREHE MPYA RASMI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE. 
KATIKA KUSHEREHESHA SHUGHULI HIZO, VITU VITATU VIMEANGUKIA KATIKA TAREHE NA SIKU ZINAZOFUATANA. TAR 13 JUNE LADY JAYDEE ANARIPOTI MAHAKAMANI KWA MARA YA TATU, HUKU TAR 14 JUNE AKISHEREHEKEA MIAKA 13 KATIKA MUZIKI, NA TAR 15 JUNE ANASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA. 
 KWA WAPENZI WA LADY JAYDEE HIYO ITAKUWA NI LONG WEEK END TUNAWAKARIBISHA WOTE TUSHEREHEKEE WEEK END YA KIHISTORIA PAMOJA NA LADY JAYDEE VENUE: NYUMBANI LOUNGE ENTRANCE: 20,000/= TIME: 9PM TUNAFURAHA KUWATANGAZIA KUWA VIP TICKETS ARE SOLD OUT TUNAKARIBISHA NAFASI ZILIZOBAKI AMBAZO NI TICKETS ZA 20,000/= TU NYOTE MNAKARIBISHWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2013

    Pause liko artificial sana! try to relax baby!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2013

    They hate, we love you....Pozi fresh.Kazi fresh.mafanikio mema.tupo pamoja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...