Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2013

    This is absolutely truee.
    Poor yet generous.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 07, 2013

    african kids have no will to learn. Have you heard about TZ division V more than 50%

    ReplyDelete
  3. Al MusomaJune 07, 2013

    I am struggling to get the core message here. A wonderful gesture by the Kenyan runner - but is compassion an African-specific attribute? Probably not. It is embodied in humans nature but we tend to lose it as we become increasingly drawn into avenues of greed, wealth and power. I would love to see African politicians and political-related business men and women running alongside the impoverished millions on the continent, offering them bread and water. Yet most of the charity work on the continent is paid for by the ordinary tax payers - quite often from outside the continent. Not mentioning Africa's main attribute - corruption - leaves me wondering whether or not we Africans really know what our negative and positive attributes are.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 07, 2013

    Contact details please?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 07, 2013

    Ukiangalia kwa makini ndo maana wakoloni walitutawala na bado wanatutawala-mamboleo!, as good as the Kenyan runner gesture was, it was not necessary and asked forr! jamaa ni mlemavu na walioandaa marathon hiyo were well aware of this fact! sasa wewe unajikomba komba nini, sisi waafilika wakati mwingine tunakua just stupidly good to others, sithani kama mlemavu angekua mpingo mwenzake huyu dada angesaidia, unaona hata leo tukitua bongo, wafanyakazi wa uhamiaji wa air-port wanajiharishia wakiona wazungu wanajipitisha pitisha hadi inatia aibu, inabidi tujiamini wenyewe, na tuache kasumba mbovu na potovu, lastly we have To emancipate ourselves from mental slavery".

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 07, 2013

    well said wadau, kweli bado tunatawaliwa na ukoloni kupitia free trade/globalization. na kweli hadi tutakapobadilisha mindset zetu kuwa tunaweza bila misaada toka kwa wazungu, na tuseme basi tumetawaliwa vya kutosha tuachane na roho mbaya kati yetu sisi kwa sisi, rushwa, ufisadi, hasa kubwa tunahitaji kubadilika UBINAFSI unatuua, hatufikirii wajukuu wa watoto wetu na vizazi vingine tutawaachia nini, tunawaza mimi, mke wangu, mwanangu, mume wangu..jirani akilala njaa non of my business! tunawanyika haki za matibabu elimu nk wengine wasio na power, elimu na maamuzi, hatupendani kabisa, tunapenda wazungu , tunapenda waendelee kututawala kuliko kujitawala, sad news! upande wa presentation, dada umeongea vizuri sana, ingawa kwa upande wangu sidhani kama majengo marefu nayo ni maendeleo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...