UNIVERSAL
AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa
Denmark (SCF Project) watauza
Magari & Ofisi furniture kwa mnada
wa hadhara tarehe 28 June, 2013 Arusha -
Blue plaza building ,ghorofa ya 2 mkabala na Fastjet mtaa wa India, saa 5
asubuhi. Na Mwanza mnada utafanyika
tarehe 29 /06/2013 NSSF building ghorofa
ya kwanza Wing D barabara ya Kenyatta saa 5 asubuhi.
GARI NA FANICHA ZITAKAZOUZWA ARUSHA:
Office desk/Chairs, Chest
drawers, Cupboard, Sign Board, File cabinet, Book shelves, Laptop, Computer
set, Printer, Na vingine vingi.
|
Idadi
|
Aina
|
Model
|
Mwaka
|
Ushuru
|
|
1
|
Toyota Prado GX
|
5L-E Diesel
|
2008
|
Haujalipwa
|
GARI NA FANICHA ZITAKAZOUZWA MWANZA:
Office desk/Chairs, Chest
drawers, Cupboard, Sign Board, File cabinet,
Book helves,Refrigerator, Laptop, Computer set, Printer, A/c split
units nk.
|
Idadi
|
Aina
|
Model
|
Mwaka
|
Ushuru
|
|
1
|
Toyota Prado GX
|
5L Diesel
|
2008
|
Haujalipwa
|
Mali zote zinaweza kukaguliwa Arusha na Mwanza, tarehe 27 mpaka 28 June, 2013 kuanzia saa 4.00. asubuhi mpaka saa
10.00 jioni.
MASHARTI YA MNADA:
- Mnunuzi wa fanicha atatakiwa kulipa malipo yote pale pale. Na mnunuzi wa gari atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 14, ukishindwa kulipa kwa muda huu gari litauzwa tena na dhamana haitarudishwa.
- Mali zote zitauzwa kama zilivyo.
- Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru.
- Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa siku hiyo hiyo baada ya kulipia malipo yote pamoja na ushuru.
- Kwa maelezo zaidi waone:UNIVERSAL AUCTION CENTRE, NKRUMAH STREET MKABALA NA CO-CABS SIMU NA: 2128027 ; 0754-284 926 DAR ES SALAAM


bongo kila kitu magumashi, unaweka number za simu mobile haipatikani , landline inaitaa tuu haipokelewi. weka hata picha ili toone gari yenyewe
ReplyDeleteMdau wa Kwanza wewe upo Majuu?
ReplyDeleteKila kitu ni Kazi hapa Bongo Tambarale, kila kitu ni lazima uweke cha juu, kupiga simu pia ni kazi ya ziada hadi uwafikie wahusika wa Mnada.
Hujui Bongo kula kwa Tindo?
Mtoa Maoni wa kwanza:
ReplyDeleteBongo huwezi kula ama kupata vitu kiurahisi unatakiwa mfunge mikanda ya suruali zenu ili muweze kula na sio kuvaa Kata-K, ama sivyo mtalala na njaa!