Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma akitoa maelezo kwa mkuuu wa Wilaya ya Songea juu ya kikao chao cha ALAT ambacho wamejiwekea utaratibu wa kukutana kila baada ya miezi mitatu kwa lengo la kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa ilani ya CCM.
Toka kulia kwako ni Katibu wa ALAT Mkoa wa Ruvuma Mohemed Maje, Makamu mwenyekiti wa ALAT ambaye pia ni Menyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo Stevini Nana, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho na Naibu meya wa Manispaa ya Songea Wiloni Kapinga wakipitia kablasha la kikao cha ALAT.Picha na Demasho Blog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...