Waziri mkuu Mizengo Pinda akikata utepe katika vitabu kuashiria kuzinduliwa kwa mradi wa kuimarisha halmashauri za miji 18 Tanzania bara,Uzinduzi huo uliofanyika mjini Moshi.Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi, Hawa Ghasia na kulia ni Mwakilishi wa benki ya dunia,mkurugenzi mkazi Philippe Dongies wakishuhudia..jpg)
.jpg)
Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwahutubia washiriki wa warsha ya uzinduzi wa mradi wa kuimarisha halmashauri za miji 18 Tanzania bara uliofanyika mjini Moshi.
Washiri wa warsha hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...