Waandishi wa habari na wanaharakati wakisubiri kumpokezi ya Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda.
Waandishi wa habari na wanaharakati wakimsubiri kumpokea Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda.
Baadhi ya wapiga picha wakiwa Uwanja wa Ndege wakati wa mapokezi ya Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom kibanda.
Mjumbe wa Bodi wa Jukwaa la wahariri, Theophil Makunga akimlaki Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda alipowasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Afrika Kusini kwa matibabu.
Kibanda akiwasili leo.
Absalom Kibanda (katikati)
Umati wa waandishi wa habari pamoja na wanaharakati wakiwa katika mapokezi ya Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Karibu, nyumbani!
ReplyDeleteLakini na nyie wa-TZ, mnasifika sana kwa Kiswahili. Msikiboronge na kukifanya an endegered linguistic genre kwa kupenda kuongea Kiingereza, kama mimi mpuuzi!
Mungu ni Mwema Daima kwa mchao
ReplyDeleteKwa wananchi wote wenye mapenzi mema tunamshukuru Mungu kwa kuweza kumnusuru Kibanda na kifo kabla ya wakati maana shambulio aliloshambuliwa ilikuwa ni kummaliza kabisa.Yeye mwenyewe anajua sababu gani iliyopelekea kufanyiwa ugaidi huo lakini pia watu makini ambao sio wanafiki na siyo waandishi wa habari wa chumia tumbo wanafahamu ukweli wa nini sababu halisi ya tukio hili kikatili pamoja upotoshaji mkubwa wa baadhi ya sababu zilizoanishwa kwa makusudi katika ripoti ya Balile.Vilevile nachukua nafasi hii pia kumkumbusha ndugu yangu Kibanda aitathmini nafsi yake na dhamiri yake juu ya uamuzi wake wa kwenda kufanya kazi na mafisadi kama wakuu wake wa kazi Rostam Aziz kumbuka una deni mbele ya Mwenyezi Mungu kwa kuwasaliti kuacha kuwasemea na kuwatetea masikini wa kutupwa watanzania!Mungu Ibariki Tanzania!
ReplyDeleteKuna mwandishi mmoja ktk gazeti la nipashe 6/6/2013 aliandika kuwa ukatiri wa aina hii umeanza na kuota mizizi ktk utawala wa awamu ya 4. Haya masuala bana si ya kiutawala. Ila cha kusema hapa ni kwamba binadamu wa nyakati hizi hawana roho za kibinadamu.
ReplyDeleteHapa kazini kwetu UCC nimeshuhudia uongozi ukipanga mbinu za kummaliza mfanyakazi mwenzao ambaye alikuwa hataki kushiriki maovu kama wizi wa pesa za kampuni.
Huyu mfanyakazi kwa bahati nzuri alitonywa kuhusu hilo na akaamua kuondoka fasta. Lakini mpaka sasa hivi anawidwa akidaiwa kukwamisha upandishwaji cheo wa kaimu .....
Hapa wanachokifanya wanamtumia mfagiaji ambaye tangu mwanzo ndiye aliyekuwa akitumiwa, ili amwalike mlengwa kwenye harusi ya ndugu yake ili wapate mwanya wa kummaliza.
Lakini kwa mipango ya Mungu , huyu bwana harusi mtarajiwa alivaniwa na majambazi na kuumizwa vibaya. Kila kitu hutokea kwa mipango ya Mwenyezi Mungu.
Swali la kujiuliza hapa ni JE! hawa wapangaji wa mipango hii wako kwenye awamu ya nne ya serikali?
God bless Tanzania
ReplyDeleteHivi Pluto bado ipo kwenye sayari?
ReplyDelete