Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2013

    sijui ni dharau au ni kitu gani?kwa nini pesa za tanzania unaziita madafu? kwani kuna ugumu gani kusema tu sarafu ya mpaka utumie madafu. ninavyojua mnatumia neno madafu kuonyesha dharau yenu kwa pesa ya tanzania kuhusu thamani yake kuwa chini ikilinganishwa na pesa za nchi nyingine

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2013

    Ukweli unauma bwana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2013

    hii ni lugha ya huku acha kuchafua lugha ya humu ndani

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2013

    Acha kununa pesa ya TZ ni madafu tu.Jina hili ni maarufu sana kote nchini kwani thamani yake ni kuweza kununua bidhaa za ndani tu nasio nnje ya mipaka ya TZ ukiachia mbali EACCs pengine kwa kuanzishwa jumuiya hii. Mdauuuuu sema kweli japo inauma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...