Home
Unlabelled
Bei ya Madafu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sijui ni dharau au ni kitu gani?kwa nini pesa za tanzania unaziita madafu? kwani kuna ugumu gani kusema tu sarafu ya mpaka utumie madafu. ninavyojua mnatumia neno madafu kuonyesha dharau yenu kwa pesa ya tanzania kuhusu thamani yake kuwa chini ikilinganishwa na pesa za nchi nyingine
ReplyDeleteUkweli unauma bwana.
ReplyDeletehii ni lugha ya huku acha kuchafua lugha ya humu ndani
ReplyDeleteAcha kununa pesa ya TZ ni madafu tu.Jina hili ni maarufu sana kote nchini kwani thamani yake ni kuweza kununua bidhaa za ndani tu nasio nnje ya mipaka ya TZ ukiachia mbali EACCs pengine kwa kuanzishwa jumuiya hii. Mdauuuuu sema kweli japo inauma.
ReplyDelete