Mtaalamu wa mazingira wa ofisi ya bonde la maji la Pangani ,Mhandisi
Arafa Maggidi akiwa na mtaalamu wa vipimo kutoka kituo cha utafiti wa
kuondoa Frolide cha Ngurdoto Godfrey Mkongo wakiangalia maji
yanayodaiwa kuwa na kemikali yakiingia mto Karanga .
Mtaalamu wa mazingira wa ofisi ya bonde la maji la Pangani ,Mhandisi
Arafa Maggidi akiwa na mtaalamu wa vipimo kutoka kituo cha utafiti wa
kuondoa Frolide cha Ngurdoto Godfrey Mkongo wakichukua sampuli ya maji
ya Mto Karanga kwa ajili ya vipimo.
Mwananfunzi wa chuo cha maabara ya sayansi,ufundi na teknolojia Arusha
Stephew Msalale akichukua maji ya mto Karanga kama sampuli kwa ajili
ya vipimo.
Mtaalamu wa mazingira wa ofisi ya bonde la maji la Pangani ,Mhandisi
Arafa Maggidi akiwa na mtaalamu wa vipimo kutoka kituo cha utafiti wa
kuondoa Frolide cha Ngurdoto Godfrey Mkongo wakichukua sampuli ya maji
ya Mto Karanga kwa ajili ya vipimo.
Na Dixon Busagaga waglobu ya jamii Moshi
KUFUATIA kutolewa kwa taarifa za kutiririshwa kwa maji yanayodaiwa
kuchanganyika na kemikali kutoka kwa baadhi ya viwanda vilivyoko kando
ya mto Karanga ofisi ya Bonde la Pangani(PBWO) imelazimika kuchukua
sampuli ya maji hayo kwa ajili ya kuyafanyia vipimo.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya taarifa za kichunguzi
zilizofanywa na Globu ya jamii baada ya kuwezeshwa na na mfuko wa waandishi
wa habari(TMF) na kuripoti jinsi wakazi wa vijiji vya
Chekeereni,Weruweru,Mijongweni na Kiyungi walivyo athirika na maji
hayo.

Unakwenda field na buti hizo!
ReplyDeleteKwanza ajifunze kuvaa nguo za field na sio buti na soksi. Ajaribu kutafuta gumboots.
Ningekuwa mimi mwalimu ningemkata maksi kwa hilo.