???????????????????????????????Kushoto ni Raymond balozi wa vijana wa Tanzania kwenye jumuiya ya Afrika mashariki akiwa na Edgar Mosha mwanafunzi Mtanzania aliyekuwa Uingereza kufanya majaribio na Academy ya klabu ya Chelsea akiwa na baba yake David Mosha "The C.E.O" aliyewahi kuwa makamu mkiti klabu ya Yanga ndani ya studio za VOA Washington Dc ikiwa ni sehemu ya ziara yake nchini Marekani. The BossKulia ni mkuu wa idhaa ya Kiswahili akiwa na Davis Mosha , Edgar na Julieth Luangissa katika ofisi za VOA. groupKushoto Julieth Luangisa, Alex Kassuwi, Edgar na baba yake Davis Mosha. The Boss3Davis Mosha akifanya mahojiano na VOA.
Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2013

    Huyo nae si ampeleke huyo mtoto lipuli wanatafuta wachezaji. kila mtu majaribio chelsea. jikune unapoweza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...