Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akiwasili katika eneo la Bandari ya Dar es Salaam tayari kwa kuzindua rasmi upokeaji wa shehena ya mabomba yatakayotumika katika ujenzi wa mradi wa kusafirisha Gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda katika akibadilishana jambo na Waziri wa Nishati na Madini Prosefa Sospeter Muhongo aliyekaa kushoto,Kulia ni Balozi wa China nchini Tanzania Balozi Lu Youging wakati wa hafla ya kuzindua kupokea shehena ya mabomba kwa ajili ya mradi wa kusafirisha Gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akishuhudia Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Balozi Lu Youging akifunua kitambaa kama ishara ya uzinduzi rasmi wa upokeaji wa mabomba ya Gesi.
Hata kwa bomba la peni, hahahaahhah.
ReplyDelete