Kwa niaba ya familia ya Imani Kibelloh,na watoto wake Omar na Omran Kibelloh wanakutaarifuni kuwa kutakuwa na kisomo cha Hauli (memorial service)ya Marehemu Patrin Kibelloh kisomo hicho kitafanyika,siku ya jumapili July,7,2013.kuanzia saa sita mchana mpaka saa  kumi  jioni kwenye ukumbi wa 
Fox hill yatch club. 
114 Ballard st,
Saugus MA 01906 
nyote mnakaribishwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...