Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2013

    mbona kuna kaunafuu hao Zanzibar wanapata asilimia nne na nusu. sisi Kigoma, Kagera, Lindi n.k mbona hatupati kitu. kila kitu kinaishia Dar. je na sisi tudai nchi yetu ili tupate misaada moja kwa moja?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2013

    UMEMPATIA KWELI NA HOJA UCHWARA - "MUUNGANO UKIFA INVESTMENT ZITATAIFISHWA?". TOKA LINI KUINVEST KATIKA NCHI KUNAHITAJI MUWE MMEUNGANA?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2013

    lISSU NAKUPA HEKO

    Pia nikufahamishe kwamba muungano umevunjwa 1984 pale nyerere kuvunja makubaliano ya muungano, makubaliano ya muungano tulikubaliana kuwe na serikali tatu,ya tanganyika, ya zanzibar na jamuhuri za muungano ya tanyangika na zanzibar, huo ndio muungano ambao ulikuwa sahihi toka hapo awali.

    Nyerere aliunvunja pale kila penye tanganyika kuweka jina la tanzania, tanganyika kuvaa koti la tanzania, hebu tuambieni hayo makubaliano ya muungano yako wapi ambayo yanayosema tanganyika ivae koti la muungano ?

    ReplyDelete
  4. WEWE ULOSEMA unafuu ZNZ asilimia 4 wakati kwenu kila siku kunajengwa mabarabara na University ?

    hebu angalia juu ya hii habari ya Tundu hakuna habari kuwa wilaya ya HAI imeingia mkataba na SWEDEN?
    Yaaani nyie kisheria mnaingia tu mikataba sisi haturuhusiwi

    Yaliyosemwa na Tundu ni ukweli mtupuuuuuu tumechoka

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 21, 2013

    CHADEMA wanauwezo wa kujenga hoja na kuhoji kwa nguvu za hoja.

    Hapa Mh. Tundu Lissu anayoongea yanaeleweka na ndiyo maana serikali tatu yaani ya Tanganyika, Mapinduzi Zanzibar na ile ndogo ya Muungano.

    Tatizo viongozi wa sasa wa dola ya Muungano na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar hawajaweza kutetea kwa nguvu ya hoja aina ya Muungano uliopo sasa hivi huku kuna kero za Muungano.

    Mdau
    Mtanganyika.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2013

    Yoye aloongoea huyu Muheshimishiwa ni sawa kabisa.... Tanganyika inainyonya sana Zanzibar, na kwa hili wala halitaki tochi... hapa zanzibar bi kuwa na nchi yake na mamlaka kamili na Tanganyika pia, that's it...

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2013

    Tundu anawajengea Zanzibar hoja ya kuvunja muungano! Hebu fikiria. Kwa faida ya nani?. Lakini ukweli ni kwamba muungano waZanzibari hawataki. It is about time we faced the truth. Waende zao tugombanie ya kwetu wenyewe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...