Hii ni game ya soccer kati ya viongozi wa dini ya Kiislam (Imams) na kikstrotu (Mapadre) iliyofanyoka huko Yorkshire, UK. Viongozi hawa hawakuishia kuvaa majoho yao na kuhubiri  bali waliamua kujumuika na kucheza game kwa ajili ya Charity na waliweza kuc kiashangisha i cha Paundi elfu 5 za kiingereza
Imagine tungekuwa nao viongozi wetu wa dini  kwenye jogging clubs na wakaonyesha wao wanavyoshirikiana na jamii katika nyanja mbalimbali. Hii ni changamoto sana kwetu.

Tafadhalini toeni maoni yenu kuhusu hili.
MDAU UK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2013

    Mashekhe wamenichekesha sana. Mechi inachezwa na kanzu!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2013

    Mapadre,wachungaji na mashekhe wa hapa bongo nao waige ili tudumishe amani katika jamii zetu,itapendeza sana.

    ReplyDelete
  3. safi sana sisi wananchi wa hapa Bradford west yorkshire tunajua nini maana yakukaa pamoja

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2013

    Anonym wa kwanza , wewe ndio unachekesha ,ulitaka mashehe wacheze na vichupi? Jambo muhimu hapa ilikuwa kuonesha mshikamano na jamii, sio umevaa nini. Nahisi chembe za kejeli.

    ReplyDelete
  5. Yani wamevaa vazi la kiislam (Kanzu) na wamewafunga mapadri!! Je wasingevaa kanzu wangewafunga ngapi?? Welldone West yorkshire. InTheEndEverythingBelongsToGod

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...