Hii ni game ya soccer kati ya viongozi wa dini ya Kiislam (Imams) na kikstrotu (Mapadre) iliyofanyoka huko Yorkshire, UK. Viongozi hawa hawakuishia kuvaa majoho yao na kuhubiri bali waliamua kujumuika na kucheza game kwa ajili ya Charity na waliweza kuc kiashangisha i cha Paundi elfu 5 za kiingereza
Imagine tungekuwa nao viongozi wetu wa dini kwenye jogging clubs na wakaonyesha wao wanavyoshirikiana na jamii katika nyanja mbalimbali. Hii ni changamoto sana kwetu.
Tafadhalini toeni maoni yenu kuhusu hili.
MDAU UK
Mashekhe wamenichekesha sana. Mechi inachezwa na kanzu!!
ReplyDeleteMapadre,wachungaji na mashekhe wa hapa bongo nao waige ili tudumishe amani katika jamii zetu,itapendeza sana.
ReplyDeletesafi sana sisi wananchi wa hapa Bradford west yorkshire tunajua nini maana yakukaa pamoja
ReplyDeleteAnonym wa kwanza , wewe ndio unachekesha ,ulitaka mashehe wacheze na vichupi? Jambo muhimu hapa ilikuwa kuonesha mshikamano na jamii, sio umevaa nini. Nahisi chembe za kejeli.
ReplyDeleteYani wamevaa vazi la kiislam (Kanzu) na wamewafunga mapadri!! Je wasingevaa kanzu wangewafunga ngapi?? Welldone West yorkshire. InTheEndEverythingBelongsToGod
ReplyDelete