Home
Unlabelled
SIKILIZA SIMULIZI YA DADA POA SEHEMU YA KWANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa Adela wewe ni msimuliaji tu au ndiye muhusika uliyekutwa na hili janga?maana mwanzoni mwa simulizi mpaka mwisho hakukuaa na utofautishaji kati msimuliaji na mhanga.Nakupa pole dada adela kwa yaliyokukuta.
ReplyDeleteJapo ndo ameanza tu naweza nikahisi mkasa utaishaje, hizi ni simulizi za kawaida za kila siku hakuna cha kusisimua, cha ajabu wala nini
ReplyDeleteKahaba anaelezea sababu za kuhalalisha ukahaba wake. Hatutaki sehemu ya pili wala nini; hadithi hii nenda kawasimulie watoto wako kabla ya kwenda kulala usiku. Na kwani huko kwenu Moshi hakuna wanaume? kwanini ukahaba wenu mnautoa kwenu Moshi mnakuja kuufanyia huku kwetu Dar?
ReplyDelete