Asalaam Alaikum & Ramadan Rakeem.
Katika mwendelezo wa video za Ramadhani. Hii video inaonyesha matengenezo yanayoendelea kwenye Mzunguko wa Kaaba, ndani ya msikiti mkuu wa Makka ambao unaendelea ili kukidhi ongezeko la mahujaji (milioni 6 huzunguka hapo at a time)
Historia fupi ni kuwa hiyo Kaaba ndiko waislam wote duniani huelekea wakisali na ilijengwa na Nabii Adam na kisha kuendelezwa na Nabii Abraham (Ibrahim) kwa ajili ya kumuabudu Mwenyezi Mungu.
Kutokana na ongezeko la watu sehem ya kufanya Tawaf (Kuzunguka mara 7) kama alivyofanya Adam, kuna matengenezo/renovation inafanywa kukidhi idadi ya watu na ndio moja kati ya sababu idadi ya mahujaji imepunguzwa mwaka huu
Pia ndani ya huo msikiti ipo sehem ambao Mke wa Nabii Ibrahim, Hajar (Hagar) alikuwa anakimbia kati ya milima miwili (Safa & Marwa) wakati alipokuwa anamtafutia maji mwanae hivyo hiyo milima imekuwa icorporated ndani ya msikiti mkuu na inabidi nayo kuzuka mara 7 kama alivyofanya Hajar.
Mwenye maelezo zaidi anaweza kutoa kwenye comments.
Nakutakieni Saum njema na yenye subra na utulivu.
Ahsante kwa taarifa, upanuzi zaidi utahitajika ili watu kama milioni mia moja waweze kufanya tawafu kwa wakati mmoja. In sha Allah "analysis" itafanyika kwa ajili ya hilo.
ReplyDeleteRamadhani njema
The story is a lie and fabrication, Adam was never a Muslim and islam was not yet came during his time... Islam came late on 6th century check the facts of history, Abraham never set his foot in makka the story about Hagar is a lie too no archeological evidences or historical to prove it.
ReplyDeleteMadu #2, The existence of GOD is also a lie for your line of reasoning.
ReplyDelete'islam was not yet came'
Mdau namba mbili andika kwa kiswahili utaeleweka zaidi.
ReplyDeleteHicho kiingereza kilichovunjika cha nini?
Mdau namba mbili, I would like to explain the religious issue you raised. I wish I could have more space to explain but I will try to summarize due limited time I have. Refer to whyislam.org for more info. As I was born in Bongo and now live in states, I learnt Islam in western and I pray to the GOD to show you the right path of all prophets and messengers have followed from Adam, Jesus to Muhammad( 25 prophets are mentioned in Quran, mostly you know them from the Bible). ISLAM is a faith and comprehensive way of life that literally means ‘peace through submission to God.’ It provides a clear understanding of a person’s relationship with God, purpose in life, and ultimate destiny. This submission requires a fully conscious and willing effort to submit to the one Almighty God.
ReplyDeleteToday, Islam is one of the fastest growing religions across the world.
The most essential principle in Islam is the purely monotheistic belief in one God. God is the Creator of everything in the universe and is unique from His creation. Muslims are encouraged to develop a direct and personal relationship with God without any intermediaries. Muslims often refer to God as Allah, which simply means “God” in the Arabic language. Arabic-speaking Jews and Christians also refer to God as Allah.
Muslims are require to accept all GOD messengers without discriminating any.
Finally, I advised you to read the QURAN as I have read the bible. It is easy to understand if you have read the bible. Don't judge Islam by looking at Muslims, I used to have a lot of misconception about Islam.PEACE TO U ALL.
I am aware that this blog is not for religious, but I was answering the questions.
Kaandika kingereza , ni matokeo ya hasira za ukweli kuhusu Makkah.
ReplyDeleteRamadhan kareem!
Mdau wa pili chukuwa somo hapo juu. Masihara na dini acha kabisa. lakini naomba uzingatie ipo siku Molla atakwapua amana ya roho aliyokuazima.
ReplyDeleteWengi walikuapo kama wewe na kuliko wewe na sasa wameshapotea duniani.Time will came and tell you soon.
Take one.
Wewe mdau wa pili, kama sio waislamu ni dini gani? wewe ulisoma wapi hayo? from the bible?! na sisi tumesoma from the Quraan sasa kwanini sisi tusiamini hilo, na kuhusu HAjjar unachekesha sana tena sana! hebu nijulishe kwenye hiyo bible unayoiamini nieleze Hajjar (Haggar) alipelekwa wapi na Ibrahim baada ya bibi sarah kutaka aondolewe kwa wivu ! hebu tujuze tuanzie hapo tu wapi Hajjar alipelekwa "NCHI YA MBALI JANGWANI" ni wapi?
ReplyDeleteMdau wa pili kasome bible yako vizuri, Bibi Sarah mwenyewe alimruhusu NAbii Ibrahim kumuoa HAjjar , aliposhika miba Hajjar na Bibi Sarah akashika mimba, hapo Bibi Sarah akawa hataki kumuona tena Hajjar, alipozaa Mwenye ez Mungu akamuamrisha Nabii Ibrahim AS kumchukuwa Bibi HAjjar na mwanawe na kuwapeleka huko jangwani! je niambie Bible yako inasemaje baada ya hapa? mimi nakumalizia, NAbii Ibrahim akamchukuwa Bibi Hajjar maka jangwani hapo MAkkah wakati huo ni jangwa kahuna maji, miti wala chochote, NAbii ibrahim akamuuliza Mola wake mbona nawaacha hapa peke yao hakuna maji wala chakula wala mtu akamwambia mimi ndio Mola wako najua ninachokifanya, NAbii Ibrahim akaodoka na kumuacha Bibi Hajjar pale akilia na kuhangaika, afanye nini, akaendelea kukaa pale akala chakula akamaliza chakula na maji, mtoto akaanza kulia huku akipiga miguu chini , bibi Hajjar akaanza kuhangaika huku na kule akitafuta labda ataona msafara anapanda kilima cha Swafar anaangalia haoni kitu anaenda tena anakimbia mpaka MArwa haoni kitu, mtoto analia, mara anaona mtoto amenyamaa akaenda akakuta katika kupiga miguu yule mtotto maji yakatokea, akaanza kuyakusanya yale maji kwa kusema "ZAM ZAM" kusanyika kusanyika yaani yale maji yasiondoke, wakanza kunywa maji yale mara ndege wakaanza kuja kufuata maji, msafara kwa mbali unaona ndege wametanda wakasema lazima kuna maisha pale kufika wakamkuta Bibi HAjjar namwanawe akawaambia mnipe chakula niwape maji na maisha yakaanza, Nabii Ibrahim akaanza kuja anakuja anakaa muda anaondoka mpaka alipoamrishwa kujenga hiyo Qaaba.... Nudug yangu ni kisa kirefu, kama wewe unaamini yaliyo ndani ya Bible nasisi tunaamini yaliyo ndani ya Quraa, Allah akufanyie wepesi ..usipende kubeza imani za wenzako wewe ulikikuta kitabu ukakisoma ukakiamini na mwenzio akikwambia anaamini usimbeze ...Wabillah
ReplyDeleteHuyo Anoni wa pili labad hana dini,kusema story ya Hagar si ukweli mmh! Soma biblia au Quran kama wanavyosema, Islam, Christianity, Judaism na Jews wote tunaamini Abrahamu/Ibrahimu kuwa ni baba yetu wa imani.
ReplyDelete