Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kulia) wakikagua shamba la nanasi la Katibu Mkuu kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (kulia) katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako wakiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe Julai 10,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia kwakena ) wakikagua shamba la nanasi la Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (kulia) katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako wakiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe Julai 10,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivuna nanasi katika shamba la Katibu Mkuu Mstaafu, Philemon Luhanjo (katikati) lililopo katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 10,2013. Kulia kwake ni mkewe Tunu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha kusindika mananasi katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 10, 2013. Kulia ni Mkewe Tunu. 

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na wanawake wa Makambako baada ya kuwasili kwenye mji mdogo huo akiambatana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 10,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. lukelo mshauraJuly 12, 2013

    waziri mkuu akiwakatika shamba la luhanjo katika kijiji cha Madeke Kata ya Mfriga wilayani Njombe na si makambako.Makambako si wilaya ni Halmashauri ya Mjina iko wilaya ya njombe.
    Lukelo mshaura
    afisa Uhusiano Halmashauri ya wilaya ya Njombe. 0714207090

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...